naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 31

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 31.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Chakula __26__ ni kile __27__ huwa na madini __28__ ambayo hutufanya tuwe na afya. __29__ wengi huenda sokoni na kununua matunda kama __30__ ambayo hutupa vitamini. __31__ nayo hutupa wanga ambao hutupa nguvu za kufanya kazi. __32__ ambao una mahitaji yote ya mwili __33__ humfanya mtu kuwa na afya na __34__ viungo vya mwili nguvu. Tusisahau pia tukiweka viungo __35__ chakula chetu huongeza ladha.

31. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 31.

  1. ASima
  2. BMboga
  3. CNyama
  4. DMaharagwe

Answer

A. Sima

Sima hutupa wanga.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test