CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026: Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection
Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · October 2026 Collection · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Answer: D. Si majukumu yote katika jamii yanayoweza kutekelezwa na watoto.
- Question 2: Chagua methali inayoafikiana na maelezo ya aya ya kwanza.Answer: D. Ukibebwa usilevyelevye miguu.
- Question 3: Majukumu ya watoto yanapaswa kuzingatia mambo gani?Answer: C. Umri na hali zao.
- Question 4: Kwa mujibu wa aya ya tatu, watoto wanapaswa kuchangia malezi kwa:Answer: D. Kutekeleza kazi za nyumbani.
- Question 5: Kwa kurejelea aya ya nne, chagua jibu linaloonyesha kuwa mtoto anapaswa kuwa na msimamo thabiti maishani.Answer: A. Marafiki waliopotoka wanaweza kumshawishi kujiunga nao.
- Question 6: Chagua kisawe cha neno “kumshauri” kama lilivyotumiwa katika kifungu.Answer: B. Kumwelekeza
- Question 7: Ni jambo gani linaloonyesha kuwa nchi ya Jijenge ilikuwa na utajiri mkubwa?Answer: A. Ilikuwa na rasilimali nyingi.
- Question 8: Kifungu kimebainisha kuwa wanyama walijali maslahi ya wenzao. Chagua jibu linalothibitisha kauli hii.Answer: C. Kila mnyama alimjali mwenzake.
- Question 9: Kauli “yalipowafika kooni” imetumia mbinu gani ya lugha?Answer: B. Nahau
- Question 10: Kama Kiboko hangefika ziwani, unadhani kungetokea nini?Answer: D. Fisi angekufa.
- Question 11: Kwa mujibu wa kifungu, Simba:Answer: B. Aliongoza kwa haki.
- Question 12: Matukio yafuatayo yalitokea katika kifungu: i. Wanyama kutumia ziwa. ii. Kobe kumkanya Fisi. iii. Simba kuridhia mpango wa Mbweha. iv.…Answer: A. i, iv, v, ii, iii, vi
- Question 13: Kulingana na aya ya kwanza, ni jambo gani lilikuwa likitendeka zamani?Answer: B. Watu wengi hawakuwa na ufahamu kama ilivyo sasa.
- Question 14: Ni jawabu gani lililo sahihi kwa mujibu wa kifungu?Answer: C. Wanaonyanyasa watu kingono aghalabu ni watu wanaojulikana.
- Question 15: Kifungu hiki kimebainisha kuwa visa vya ubakaji hutokea kwa sababu ya:Answer: B. Unyama ulio ndani ya mbakaji.
- Question 16: Neno “kukithiri” limetumika katika kifungu hiki. Maana yake ni:Answer: A. Kuongezeka
- Question 17: Maana ya nahau “utashi wa moyo” ni:Answer: D. Tamaa
- Question 18: Ni kijana yupi aliyetengeneza bidhaa tatu?Answer: C. Maria
- Question 19: Ni nani hakuandamana na wenzake kupeleka bidhaa sokoni?Answer: D. Yusufu
- Question 20: Ni kauli ipi inayoeleza waliochonga vinyago kwa mujibu wa kifungu?Answer: B. Maria na Tamara walichonga vinyago.
- Question 21: Tiro alimsalimia babu yake kwa kusema “Habari gani?” Je, ni salamu gani nyingine angeweza kutumia kumwamkua?Answer: B. Shikamoo?
- Question 22: Ni methali gani inayofaa kujaza nafasi katika kifungu?Answer: D. Kuvunjika kwa mwiko si mwisho wa kusonga ugali.
- Question 23: Ni tabia gani haikuonyeshwa katika mazungumzo haya?Answer: D. Kuzungumza mwingine akizungumza.
- Question 24: Chagua nahau inayofaa kujaza nafasi katika kifungu.Answer: A. Jipe moyo.
- Question 25: Ni methali ipi inayofaa kuelezea maneno ya Tiro kuhusu changamoto za ufugaji?Answer: D. Kuvunjika kwa mwiko si mwisho wa kusonga ugali.
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 26.Answer: C. ni
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 27.Answer: D. bakteria
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 28.Answer: A. mapafu
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 29.Answer: B. kupitia
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 30.Answer: A. chafya
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 31.Answer: B. hatua
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 32.Answer: D. kinga
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 33.Answer: C. huu
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 34.Answer: A. Hivyo
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kwa nafasi ya 35.Answer: D. kinga ni bora kuliko tiba
- Question 36: Nomino uwanja iko katika ngeli moja na:Answer: A. Ufunguo
- Question 37: Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kutendea.Answer: C. Wanafunzi walimkimbilia mshindi.
- Question 38: Chagua sentensi iliyo katika hali ya wingi ya: Shangazi yangu alininunulia nguo.Answer: C. Shangazi zetu walitununulia nguo.
- Question 39: Chagua kitenzi kishirikishi kipungufu katika sentensi hii: Shule yetu ilikuwa ndiyo bora mashindanoni.Answer: D. Ndiyo
- Question 40: Kanusha sentensi: Paka amekunywa maziwa.Answer: A. Paka hajakunywa maziwa.
- Question 41: Chagua vinyume vya maneno “furaha” na “mchana” kwa mpangilio huo.Answer: C. Huzuni na usiku
- Question 42: Sahihisha sentensi ifuatayo: Shingo lake imefura.Answer: A. Shingo yake imefura.
- Question 43: Mawingu yalitanda lakini mvua haikunyesha. Sentensi hii ni ya aina gani?Answer: C. Ambatano
- Question 44: Chagua sentensi iliyo na kivumishi kimilikishi.Answer: B. Wazazi wetu wametufundisha maadili.
- Question 45: Chagua kundi lililo na nomino za pekee.Answer: C. Jumamosi, Kiswahili, Agosti
- Question 46: Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Answer: B. Kigombe cha kijizee kimezaa kidama.
- Question 47: Tambua salamu ya jioni kati ya zifuatazo.Answer: B. Masalkheri
- Question 48: Chane ni kwa ndizi kama vile ___ ni kwa samaki.Answer: D. Tungo
- Question 49: “Haraka haraka haina baraka” ni mfano wa:Answer: B. Methali
- Question 50: Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?Answer: C. Jumamosi, Kiswahili, Agosti