CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 36
Nomino uwanja iko katika ngeli moja na:
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Nomino uwanja iko katika ngeli moja na:
- AUfunguo
- BMti
- CKaratasi
- DUji
Answer
A. Ufunguo
Uwanja huwa nyanja na ufunguo huwa funguo; nomino hizi ziko katika ngeli ya U–ZI.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kutendea.Question 37
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya wingi ya: Shangazi yangu alininunulia nguo.Question 38
- Chagua kitenzi kishirikishi kipungufu katika sentensi hii: Shule yetu ilikuwa ndiyo bora mashindanoni.Question 39
- Kanusha sentensi: Paka amekunywa maziwa.Question 40
- Chagua vinyume vya maneno “furaha” na “mchana” kwa mpangilio huo.Question 41
- Sahihisha sentensi ifuatayo: Shingo lake imefura.Question 42