naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 42

Sahihisha sentensi ifuatayo: Shingo lake imefura.

From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha

Sahihisha sentensi ifuatayo: Shingo lake imefura.

  1. AShingo yake imefura.
  2. BShingo limefura.
  3. CShingo lake limefura.
  4. DMashingo yake yamefura.

Answer

A. Shingo yake imefura.

Shingo katika sentensi hii hutumia upatanisho wa N–N: yake na imefura.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test