CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 45
Chagua kundi lililo na nomino za pekee.
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Chagua kundi lililo na nomino za pekee.
- AShada, jamii, kikosi
- BHuruma, huzuni, upepo
- CJumamosi, Kiswahili, Agosti
- DMarashi, unga, chumvi
Answer
C. Jumamosi, Kiswahili, Agosti
Jumamosi, Kiswahili na Agosti ni majina maalumu ya siku, lugha na mwezi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 46
- Tambua salamu ya jioni kati ya zifuatazo.Question 47
- Chane ni kwa ndizi kama vile ___ ni kwa samaki.Question 48
- “Haraka haraka haina baraka” ni mfano wa:Question 49
- Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Question 1