CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 48
Chane ni kwa ndizi kama vile ___ ni kwa samaki.
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Chane ni kwa ndizi kama vile ______ ni kwa samaki.
- AShehena
- BKidimbwi
- CKundi
- DTungo
Answer
D. Tungo
Tungo ni samaki waliopangwa au kupitishiwa uzi pamoja; chane hutaja mkusanyiko wa ndizi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- “Haraka haraka haina baraka” ni mfano wa:Question 49
- Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Question 1
- Chagua methali inayoafikiana na maelezo ya aya ya kwanza.Question 2
- Majukumu ya watoto yanapaswa kuzingatia mambo gani?Question 3
- Kwa mujibu wa aya ya tatu, watoto wanapaswa kuchangia malezi kwa:Question 4