CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 47
Tambua salamu ya jioni kati ya zifuatazo.
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Tambua salamu ya jioni kati ya zifuatazo.
- ASabalkheri
- BMasalkheri
- CBinuru
- DShikamoo
Answer
B. Masalkheri
Masalkheri ni salamu ya jioni; Binuru ni jawabu la salamu, si salamu inayotafutwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chane ni kwa ndizi kama vile ___ ni kwa samaki.Question 48
- “Haraka haraka haina baraka” ni mfano wa:Question 49
- Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Question 1
- Chagua methali inayoafikiana na maelezo ya aya ya kwanza.Question 2
- Majukumu ya watoto yanapaswa kuzingatia mambo gani?Question 3