CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 50
Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?
- AShada, jamii, kikosi
- BHuruma, huzuni, upepo
- CJumamosi, Kiswahili, Agosti
- DMarashi, unga, chumvi
Answer
C. Jumamosi, Kiswahili, Agosti
Jumamosi, Kiswahili na Agosti ni nomino za pekee. Swali hili linarudia dhana na machaguo ya swali la 45.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Question 1
- Chagua methali inayoafikiana na maelezo ya aya ya kwanza.Question 2
- Majukumu ya watoto yanapaswa kuzingatia mambo gani?Question 3
- Kwa mujibu wa aya ya tatu, watoto wanapaswa kuchangia malezi kwa:Question 4
- Kwa kurejelea aya ya nne, chagua jibu linaloonyesha kuwa mtoto anapaswa kuwa na msimamo thabiti maishani.Question 5
- Chagua kisawe cha neno “kumshauri” kama lilivyotumiwa katika kifungu.Question 6