CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 46
Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?
From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya lugha
Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?
- AKitabu chake kina picha za kupendeza.
- BKigombe cha kijizee kimezaa kidama.
- CKiboko amesombwa na maji.
- DKilichobomoka kimezibwa.
Answer
B. Kigombe cha kijizee kimezaa kidama.
Kigombe, kijizee na kidama yanaonyesha hali ya udogo katika sentensi hii.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tambua salamu ya jioni kati ya zifuatazo.Question 47
- Chane ni kwa ndizi kama vile ___ ni kwa samaki.Question 48
- “Haraka haraka haina baraka” ni mfano wa:Question 49
- Ni kundi lipi lililo na nomino za pekee?Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kauli gani inayoonyesha mipaka ya majukumu ya watoto katika jamii?Question 1
- Chagua methali inayoafikiana na maelezo ya aya ya kwanza.Question 2