naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 20

Ni kauli ipi inayoeleza waliochonga vinyago kwa mujibu wa kifungu?

From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa kusoma

Mjomba wao alijishughulisha na shughuli mbalimbali za sanaa. Alifuma sweta, alichonga vinyago na alifinyanga vyungu. Yeye huvitumia vifaa hivi nyumbani na kuuza vingine sokoni.
Vijana hawa walimsaidia mjomba wao kutekeleza shughuli hizi. Yusufu, Maria na Tamara walifuma sweta. Maria, Yoshua na Tamara walichonga vinyago. Wote isipokuwa Yusufu na Tamara walifinyanga vyungu.
Wavulana wote walileta vifaa vya kufanyia kazi. Vijana wote isipokuwa Anita walipiga deki eneo walilofanyia kazi. Vijana wote isipokuwa Yusufu walimsaidia mjomba kupeleka bidhaa walizotengeneza sokoni kuuza.

Ni kauli ipi inayoeleza waliochonga vinyago kwa mujibu wa kifungu?

  1. AYoshua na Yusufu walifuma sweta.
  2. BMaria na Tamara walichonga vinyago.
  3. CAnita na Maria walifinyanga vyungu.
  4. DYusufu, Maria na Yoshua walifinyanga vyungu.

Answer

B. Maria na Tamara walichonga vinyago.

Maria na Tamara wametajwa miongoni mwa waliochonga vinyago.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test