naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 3 2026 · Question 18

Ni kijana yupi aliyetengeneza bidhaa tatu?

From Kiswahili Paper 1 — October 2026 Collection · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa kusoma

Mjomba wao alijishughulisha na shughuli mbalimbali za sanaa. Alifuma sweta, alichonga vinyago na alifinyanga vyungu. Yeye huvitumia vifaa hivi nyumbani na kuuza vingine sokoni.
Vijana hawa walimsaidia mjomba wao kutekeleza shughuli hizi. Yusufu, Maria na Tamara walifuma sweta. Maria, Yoshua na Tamara walichonga vinyago. Wote isipokuwa Yusufu na Tamara walifinyanga vyungu.
Wavulana wote walileta vifaa vya kufanyia kazi. Vijana wote isipokuwa Anita walipiga deki eneo walilofanyia kazi. Vijana wote isipokuwa Yusufu walimsaidia mjomba kupeleka bidhaa walizotengeneza sokoni kuuza.

Ni kijana yupi aliyetengeneza bidhaa tatu?

  1. AAnita
  2. BYoshua
  3. CMaria
  4. DYusufu

Answer

C. Maria

Maria alifuma sweta, alichonga vinyago na, kwa kuwa si Yusufu wala Tamara, alifinyanga vyungu pia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test