CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 4)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · Revision 2026 (Booklet 4) · 30 questions
Topics: Kusoma, Fasihi Simulizi, Msamiati, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Ni somo lipi lililotajwa kuwa la kwanza na kwa nini wasichana walifanya kazi ya nyumbani mapema?Answer: B. Kiswahili, kwa sababu wanapenda kuwa tayari
- Question 2: Ni faida ipi ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya shule?Answer: A. Inawafundisha uwajibikaji wa nidhamu
- Question 3: Wasichana wanasema nini kuhusu michezo na masomo?Answer: C. Masomo ni muhimu, michezo burudani
- Question 4: Mwalimu wao aliwafundisha nini?Answer: D. Nidhamu na heshima
- Question 5: Mazungumzo haya yanafundisha wanafunzi mambo gani mawili muhimu?Answer: D. Kufanya kazi za nyumbani na kufurahia michezo
- Question 6: Kulingana na ufahamu huu wahenga ni nani?Answer: B. Wazee wa kitambo
- Question 7: Kamilisha methali: HeshimaAnswer: A. si utumwa
- Question 8: Watoto wanastahili kuwaheshimu watu hawa wote isipokuwaAnswer: D. Wezi
- Question 9: Kamilisha nafasi iliyowekwa herufi HAnswer: A. Marahaba
- Question 10: Barua hii ni ya aina gani?Answer: B. Kirafiki
- Question 11: Ni nani anaandika barua hii?Answer: A. Abdi
- Question 12: Sababu kuu ya barua hii kuandikwa ni ipi?Answer: C. Kujuliana hali
- Question 13: Elimu hufundisha mambo gani?Answer: A. Kusoma, kuandika na kuelewa
- Question 14: Ni nani huwasaidia wanafunzi kuelewa masomo shuleni?Answer: C. Walimu
- Question 15: Mbali na masomo, watoto hujifunza nini shuleni?Answer: B. Maadili mema kama heshima na nidhamu
- Question 16: (16)Answer: B. shuleni
- Question 17: (17)Answer: A. ameshalianza
- Question 18: (18)Answer: D. lakini
- Question 19: (19)Answer: B. macho
- Question 20: (20)Answer: C. kuchelewa
- Question 21: Chagua nomino ya wingi kati ya hiziAnswer: D. Manukato
- Question 22: Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?Answer: A. Gari la abiria litaondoka mapema
- Question 23: Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Answer: C. thurea ya
- Question 24: Kanusha: Salome anakwea mlima:Answer: B. Salome hakwei mlima
- Question 25: Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuAnswer: C. (iv), (i), (iii), (ii)
- Question 26: Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Answer: A. alipiga chafya
- Question 27: Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaAnswer: B. Matunda hayo yaliliwa na Asha
- Question 28: Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Answer: D. ng’onda
- Question 29: Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Answer: A. 5
- Question 30: Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Answer: C. Haraka haraka haina baraka