CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) Shaibu
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kamusi
25. Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi
i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) Shaibu
- A(iv), (ii), (iii), (i)
- B(i), (ii), (iii), (iv)
- C(iv), (i), (iii), (ii)
- D(i), (iv), (ii), (iii)
Answer
C. (iv), (i), (iii), (ii)
Shaibu, Shtahiki, Stahili, Staja.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28
- Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Question 29
- Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Question 30
- Ni somo lipi lililotajwa kuwa la kwanza na kwa nini wasichana walifanya kazi ya nyumbani mapema?Question 1