CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Silabi
29. Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?
- A5
- B8
- C11
- D6
Answer
A. 5
vi-te-nda-wi-li.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Question 30
- Ni somo lipi lililotajwa kuwa la kwanza na kwa nini wasichana walifanya kazi ya nyumbani mapema?Question 1
- Ni faida ipi ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya shule?Question 2
- Wasichana wanasema nini kuhusu michezo na masomo?Question 3
- Mwalimu wao aliwafundisha nini?Question 4
- Mazungumzo haya yanafundisha wanafunzi mambo gani mawili muhimu?Question 5