CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Nahau
26. Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi.
Rosa alipoingiwa na vumbi puani ______
- Aalipiga chafya
- Balifuta vumbi
- Calipiga mswaki
- Dalipenga kamasi
Answer
A. alipiga chafya
Kupiga chafya.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28
- Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Question 29
- Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Question 30
- Ni somo lipi lililotajwa kuwa la kwanza na kwa nini wasichana walifanya kazi ya nyumbani mapema?Question 1
- Ni faida ipi ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya shule?Question 2