CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na Asha
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
27. Andika sentensi ifuatayo katika wingi:
Tunda hilo liliiliwa na Asha
- ATunda hilo liliwa na Asha
- BMatunda hayo yaliliwa na Asha
- CMatunda hili lililiwa na Asha
- DMatunda haya yaliliwa na Asha
Answer
B. Matunda hayo yaliliwa na Asha
LI-YA: matunda hayo yaliliwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28
- Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Question 29
- Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Question 30
- Ni somo lipi lililotajwa kuwa la kwanza na kwa nini wasichana walifanya kazi ya nyumbani mapema?Question 1
- Ni faida ipi ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya shule?Question 2
- Wasichana wanasema nini kuhusu michezo na masomo?Question 3