CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Kanusha: Salome anakwea mlima:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
24. Kanusha: Salome anakwea mlima:
- ASalome hakukwea mlima
- BSalome hakwei mlima
- CSalome hatakwea mlima
- DSalome hajakwea mlima
Answer
B. Salome hakwei mlima
-na- → ha-…-i.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28
- Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Question 29
- Ni methali ipi ambayo haihusu malezi?Question 30