CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Msamiati, Nomino za Makundi
23. Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo
Salim anapenda kutazama ______ nyota angani.
- Awingu la
- Bmlolongo wa
- Cthurea ya
- Dsafu ya
Answer
C. thurea ya
Thurea ya nyota.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kanusha: Salome anakwea mlima:Question 24
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28
- Neno ‘vitendawili’ lina silabi ngapi?Question 29