CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
22. Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?
- AGari la abiria litaondoka mapema
- BNilikuwa hapa jana jioni
- CBaba anasoma gazeti sebuleni
- DJambazi amefungwa gerezani
Answer
A. Gari la abiria litaondoka mapema
-ta- ni wakati ujao.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 23
- Kanusha: Salome anakwea mlima:Question 24
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27
- Kamilisha tashbihi ifuatayo: Mgonjwa yule amekonda kama ___Question 28