CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Chagua nomino ya wingi kati ya hizi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
21. Chagua nomino ya wingi kati ya hizi
- AMiti
- BMadawati
- CKucheka
- DManukato
Answer
D. Manukato
Miti, madawati na manukato ni nomino za wingi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?Question 22
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 23
- Kanusha: Salome anakwea mlima:Question 24
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi: Tunda hilo liliiliwa na AshaQuestion 27