CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15
Mbali na masomo, watoto hujifunza nini shuleni?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali 13 – 15.
Elimu ni ufunguo wa maisha. Inatusaidia kujifunza kusoma, kuandika na kuelewa mambo mengi yanayotuzunguka. Watoto wanapoenda shuleni, wanapata maarifa ambayo, yatawasaida baadaye maishani.
Shuleni, watoto hujifunza masomo mbalimbali kama vile Kiswahili, Hisabati, Sayansi na michezo. Pia hujifunza maadili mema kama heshima, nidhamu na kushirikiana na wengine. Mwalimu huwaongoza wanafunzi ili waweze kuelewa, vizuri na kufanya kazi kwa bidii. Kupitia elimu, tunaweza kuwa madaktari, walimu, mafundi au viongozi bora. Elimu pia hufundisha nidhamu, upendo na kuheshimiana. Ndiyo maana ni muhimu kila mtoto ahudhurie shule kila siku.
15. Mbali na masomo, watoto hujifunza nini shuleni?
- AKula vyakula vitamu
- BMaadili mema kama heshima na nidhamu
- CKuendesha magari
- DKufuga wanyama wakali
Answer
B. Maadili mema kama heshima na nidhamu
Maadili mema.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino ya wingi kati ya hiziQuestion 21
- Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?Question 22
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 23
- Kanusha: Salome anakwea mlima:Question 24
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26