CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Kamilisha methali: Heshima
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Methali
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo 6 hadi 9.
Kama walivyosema wahenga, heshima si utumwa. Kila mmoja duniani ana jukumu la kuheshimu watu wote. Watoto wanafaa kuwaheshimu wakubwa wao. Walimu, wazazi wao na walio na umri mkubwa kuwaliko. Kwa upande mwingine walimu, wazazi na wakubwa wote wanastahili kuwaheshimu wadogo wao. Watoto wakisalimiwa shikamoo, watajibu __H__
7. Kamilisha methali: Heshima
- Asi utumwa
- Bkwa wazee
- Ckwa wazazi
- Dkwa wakubwa
Answer
A. si utumwa
Heshima si utumwa.