CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Sababu kuu ya barua hii kuandikwa ni ipi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Barua
Soma barua hii kisha ujibu maswali yafuatayo.
Shule ya msingi ya Masomo,
S.L.P 1496 - 100,
Nairobi 101.
14/4/2026.
Mpendwa Neema,
Pokea salamu nyingi kutoka kwangu. Ni matumaini yangu kuwa u-mzima na Mola amekupa afya njema. Sababu ya kukuandikia barua hii ni kukujulia hali. Nilipokosa kupata ujumbe kutoka kwako, nilipatwa na wasiwasi. Neema naomba utie bidii masomoni kama mimi hapa. Kwaheri,
Ni mimi rafiki yako mpendwa,
Abdi.
12. Sababu kuu ya barua hii kuandikwa ni ipi?
- AKutia bidii masomo
- BKupotea kwa Kibet
- CKujuliana hali
- DMola ampe afya
Answer
C. Kujuliana hali
"kukujulia hali".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Elimu hufundisha mambo gani?Question 13
- Ni nani huwasaidia wanafunzi kuelewa masomo shuleni?Question 14
- Mbali na masomo, watoto hujifunza nini shuleni?Question 15
- Chagua nomino ya wingi kati ya hiziQuestion 21
- Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?Question 22
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 23