naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13

Elimu hufundisha mambo gani?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali 13 – 15.
Elimu ni ufunguo wa maisha. Inatusaidia kujifunza kusoma, kuandika na kuelewa mambo mengi yanayotuzunguka. Watoto wanapoenda shuleni, wanapata maarifa ambayo, yatawasaida baadaye maishani.
Shuleni, watoto hujifunza masomo mbalimbali kama vile Kiswahili, Hisabati, Sayansi na michezo. Pia hujifunza maadili mema kama heshima, nidhamu na kushirikiana na wengine. Mwalimu huwaongoza wanafunzi ili waweze kuelewa, vizuri na kufanya kazi kwa bidii. Kupitia elimu, tunaweza kuwa madaktari, walimu, mafundi au viongozi bora. Elimu pia hufundisha nidhamu, upendo na kuheshimiana. Ndiyo maana ni muhimu kila mtoto ahudhurie shule kila siku.

13. Elimu hufundisha mambo gani?

  1. AKusoma, kuandika na kuelewa
  2. BKununua vitu
  3. CKula na kulala
  4. DKuimba na kucheza

Answer

A. Kusoma, kuandika na kuelewa

Sentensi ya pili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test