CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Watoto wanastahili kuwaheshimu watu hawa wote isipokuwa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo 6 hadi 9.
Kama walivyosema wahenga, heshima si utumwa. Kila mmoja duniani ana jukumu la kuheshimu watu wote. Watoto wanafaa kuwaheshimu wakubwa wao. Walimu, wazazi wao na walio na umri mkubwa kuwaliko. Kwa upande mwingine walimu, wazazi na wakubwa wote wanastahili kuwaheshimu wadogo wao. Watoto wakisalimiwa shikamoo, watajibu __H__
8. Watoto wanastahili kuwaheshimu watu hawa wote isipokuwa
- AWazee
- BWalimu wao
- CWatoto wenzao
- DWezi
Answer
D. Wezi