CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Barua hii ni ya aina gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Barua
Soma barua hii kisha ujibu maswali yafuatayo.
Shule ya msingi ya Masomo,
S.L.P 1496 - 100,
Nairobi 101.
14/4/2026.
Mpendwa Neema,
Pokea salamu nyingi kutoka kwangu. Ni matumaini yangu kuwa u-mzima na Mola amekupa afya njema. Sababu ya kukuandikia barua hii ni kukujulia hali. Nilipokosa kupata ujumbe kutoka kwako, nilipatwa na wasiwasi. Neema naomba utie bidii masomoni kama mimi hapa. Kwaheri,
Ni mimi rafiki yako mpendwa,
Abdi.
10. Barua hii ni ya aina gani?
- AKuomba kazi
- BKirafiki
- CRasmi
- DOfisi
Answer
B. Kirafiki