naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6

Kulingana na ufahamu huu wahenga ni nani?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo 6 hadi 9.
Kama walivyosema wahenga, heshima si utumwa. Kila mmoja duniani ana jukumu la kuheshimu watu wote. Watoto wanafaa kuwaheshimu wakubwa wao. Walimu, wazazi wao na walio na umri mkubwa kuwaliko. Kwa upande mwingine walimu, wazazi na wakubwa wote wanastahili kuwaheshimu wadogo wao. Watoto wakisalimiwa shikamoo, watajibu __H__

6. Kulingana na ufahamu huu wahenga ni nani?

  1. AWalimu wetu
  2. BWazee wa kitambo
  3. CNdugu zetu
  4. DWazazi wetu

Answer

B. Wazee wa kitambo

Wahenga ni wazee wa zamani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test