CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18
(18)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Soma kifungu kifuatacho. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Naikumbuka vizuri siku yenyewe kana kwamba ni jana. Ilikuwa siku ya Jumatatu asubuhi. Nilipofika __16__, mwalimu wetu wa Kiswahili alikuwa tayari __17__ somo la siku hiyo. Niliubisha mlango __18__ hakuniruhusu kuingia. Nilisimama pale kwa muda. Baadaye alinikodolea __19__ nami nikaogopa na kumweleza sababu zangu za __20__. Alinielewa na kuniruhusu niingie darasani.
18. (18)
- Atena
- Bwala
- Cna
- Dlakini
Answer
D. lakini
Niliubisha lakini hakuniruhusu.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino ya wingi kati ya hiziQuestion 21
- Ni sentensi gani iliyo katika wakati ujao?Question 22
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifuatayo Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 23
- Kanusha: Salome anakwea mlima:Question 24
- Chagua fuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi i) Shtahiki ii) Staja iii) Stahili iv) ShaibuQuestion 25
- Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Question 26