CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3: TISMA Exams 007 (Lugha)
Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · TISMA Exams 007 (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Answer: C. Habari ya asubuhi.
- Question 2: Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?Answer: D. Siku njema.
- Question 3: Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?Answer: B. Binuru
- Question 4: Neno lipi hutumika kutoa shukrani kwa mtu akikufanyia jambo zuri?Answer: A. Asante
- Question 5: Ni nini umuhimu wa maamkuzi na maagano?Answer: D. Kuonyesha heshima na kujali.
- Question 6: Ni nini kilichomfanya Zuhura kuwa na huzuni?Answer: B. Aliishi katika kijiji kilichokuwa na mavazi ya zamani.
- Question 7: Mashindano ya mitindo ya mavazi yalifanyika wapi?Answer: C. Mjini.
- Question 8: Zuhura aliishi katika kijiji kilichoitwaje?Answer: A. Banda
- Question 9: Zuhura alishinda mashindano kwa sababu gani?Answer: A. Aliunda mavazi akitumia mavazi ya zamani ya mama yake.
- Question 10: Hadithi hii inatufundisha nini?Answer: C. Ubunifu na juhudi hutoa mafanikio.
- Question 11: Kamusi hutueleza yote yafuatayo isipokuwaAnswer: C. ukubwa wa nomino
- Question 12: Maneno kwenye Kamusi hupangwa kulingana naAnswer: A. alfabeti
- Question 13: Neema aliambiwa na mwalimu wake atafute neno "soma" kwenye Kamusi. Je, alipata kuwa neno hilo niAnswer: C. kitenzi
- Question 14: Kulingana na mpangilio wa maneno kwenye kamusi, ni neno lipi kati ya haya litapatikana la kwanza?Answer: C. Daftari
- Question 15: Kulingana na ufahamu, Kamusi husaidiaje wanafunzi?Answer: A. Kujijenga na kuimarika katika lugha.
- Question 16: Nafasi ya 16Answer: B. yetu
- Question 17: Nafasi ya 17Answer: D. mchwa
- Question 18: Nafasi ya 18Answer: A. vingi
- Question 19: Nafasi ya 19Answer: C. nguvu
- Question 20: Nafasi ya 20Answer: A. kwa sababu
- Question 21: Kuanzia swali 21-30, jibu kila swali kulingana maagizo. Kamilisha. Mtoto ___ ni mtiifu.Answer: B. huyu
- Question 22: Nomino "Mimea na Muwa" huorodheshwa katika ngeli ipi?Answer: A. U-I
- Question 23: Kamilisha kwa nafsi ifaayo. ___ aliandika insha vizuri.Answer: D. Yeye
- Question 24: Tumia kihusishi kifaacho. Mpira uko___ meza.Answer: C. juu ya
- Question 25: Jua huchomoza upande gani?Answer: B. Mashariki
- Question 26: Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda___"Answer: A. msalani
- Question 27: Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.Answer: C. ndivyo akuavyo
- Question 28: Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Answer: D. Rununu.
- Question 29: Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Answer: B. Makabati makubwa yamenunuliwa.
- Question 30: Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?Answer: A. Ni mjamzito.