CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 15
Kulingana na ufahamu, Kamusi husaidiaje wanafunzi?
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.
Kamusi ni kitabu maalum ambacho hutoa maana ya maneno katika Kiswahili. Pia, Kwenye kamusi tunaweza kuelezewa ngeli za maneno, umoja au wingi wa nomino, na pia aina ya neno hilo kama vile nomino, kitenzi, kivumishi, kihusishi na kadhalika.
Kumbuka kuwa maneno katika Kamusi hupangwa kwa utaratibu wa alfabeti hivyo, kabla uangalie neno kwenye kamusi lazima ujue mpangilio sahihi wa alfabeti. Matumizi ya kamusi huwasaidia wanafunzi kujijenga katika lugha ya Kiswahili.
Kulingana na ufahamu, Kamusi husaidiaje wanafunzi?
- AKujijenga na kuimarika katika lugha.
- BKuwakumbusha kuhusu nomino.
- CKuendeleza maneno vyema.
- DKutamka maneno ifaavyo.
Answer
A. Kujijenga na kuimarika katika lugha.
"Matumizi ya kamusi huwasaidia wanafunzi kujijenga katika lugha ya Kiswahili."