naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 14

Kulingana na mpangilio wa maneno kwenye kamusi, ni neno lipi kati ya haya litapatikana la kwanza?

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.

Kamusi ni kitabu maalum ambacho hutoa maana ya maneno katika Kiswahili. Pia, Kwenye kamusi tunaweza kuelezewa ngeli za maneno, umoja au wingi wa nomino, na pia aina ya neno hilo kama vile nomino, kitenzi, kivumishi, kihusishi na kadhalika.

Kumbuka kuwa maneno katika Kamusi hupangwa kwa utaratibu wa alfabeti hivyo, kabla uangalie neno kwenye kamusi lazima ujue mpangilio sahihi wa alfabeti. Matumizi ya kamusi huwasaidia wanafunzi kujijenga katika lugha ya Kiswahili.

Kulingana na mpangilio wa maneno kwenye kamusi, ni neno lipi kati ya haya litapatikana la kwanza?

  1. AZeze
  2. BEmbe
  3. CDaftari
  4. DSahani

Answer

C. Daftari

Angalia herufi ya kwanza: D (Daftari), E (Embe), S (Sahani), Z (Zeze). D huja kwanza katika alfabeti.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test