naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 13

Neema aliambiwa na mwalimu wake atafute neno "soma" kwenye Kamusi. Je, alipata kuwa neno hilo ni

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.

Kamusi ni kitabu maalum ambacho hutoa maana ya maneno katika Kiswahili. Pia, Kwenye kamusi tunaweza kuelezewa ngeli za maneno, umoja au wingi wa nomino, na pia aina ya neno hilo kama vile nomino, kitenzi, kivumishi, kihusishi na kadhalika.

Kumbuka kuwa maneno katika Kamusi hupangwa kwa utaratibu wa alfabeti hivyo, kabla uangalie neno kwenye kamusi lazima ujue mpangilio sahihi wa alfabeti. Matumizi ya kamusi huwasaidia wanafunzi kujijenga katika lugha ya Kiswahili.

Neema aliambiwa na mwalimu wake atafute neno "soma" kwenye Kamusi. Je, alipata kuwa neno hilo ni

  1. Anomino
  2. Bkivumishi
  3. Ckitenzi
  4. Dkiunganishi

Answer

C. kitenzi

"Soma" ni neno la kitendo (k.m. Mimi husoma kitabu), kwa hivyo ni kitenzi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test