naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 18

Nafasi ya 18

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kuanzia swali la 16-20, soma kifungu kwa makini kisha uchague jibu lifaalo zaidi kujaza mapengo.

Shule 16 ________ imeimarika sana katika masomo. Kila mwanafunzi hujikaza kusoma kwa bidii kama 17 ________ ili apate alama nzuri. Walimu wametuweka kwenye vikundi 18 ________ vinavyotufanya kushirikiana kwani, umoja ni 19 ________. Tunamshukuru mwalimu wetu 20 ________ ametusaidia kuimarika zaidi.

Nafasi ya 18

  1. Avingi
  2. Bmingi
  3. Ckingi
  4. Dwengi

Answer

A. vingi

"Vikundi" ni wingi wa ngeli ya KI-VI, kwa hivyo tunasema "vikundi vingi".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test