CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 23
Kamilisha kwa nafsi ifaayo. ___ aliandika insha vizuri.
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Kamilisha kwa nafsi ifaayo.
_______ aliandika insha vizuri.
- AMimi
- BWewe
- CWao
- DYeye
Answer
D. Yeye
Kiambishi "a-" katika "aliandika" ni cha nafsi ya tatu umoja, yaani "yeye". Mimi angesema "niliandika" na wao "waliandika".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tumia kihusishi kifaacho. Mpira uko___ meza.Question 24
- Jua huchomoza upande gani?Question 25
- Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda___"Question 26
- Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.Question 27
- Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Question 28
- Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Question 29