naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 29

Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

Andika sentensi hii kwa wingi.
Kabati kubwa limenunuliwa.

  1. AMakabati kubwa yamenunuliwa.
  2. BMakabati makubwa yamenunuliwa.
  3. CKabati kubwa zimenunuliwa.
  4. DKabati makubwa limenunuliwa.

Answer

B. Makabati makubwa yamenunuliwa.

Kabati ni ngeli ya LI-YA: kabati → makabati, kubwa → makubwa, limenunuliwa → yamenunuliwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test