CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 28
Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vifaa vya Kidijitali

Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.
- ARuninga
- BKipatakilishi
- CRedio
- DRununu.
Answer
D. Rununu.
Kifaa hiki kidogo cha mkononi chenye skrini ya kugusa ni simu ya mkononi, yaani rununu.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Question 29
- Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?Question 30
- Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Question 1
- Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?Question 2
- Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?Question 3
- Neno lipi hutumika kutoa shukrani kwa mtu akikufanyia jambo zuri?Question 4