CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 27
Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
Kamilisha methali.
Mtoto umleavyo ______.
- Ahuwa mkubwa
- Bsharti ainame
- Cndivyo akuavyo
- Dhuvunjika guu
Answer
C. ndivyo akuavyo
Methali kamili ni "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" — malezi ya mtoto huonekana katika tabia yake akikua.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Question 28
- Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Question 29
- Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?Question 30
- Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Question 1
- Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?Question 2
- Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?Question 3