CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 26
Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda___"
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda____________"
- Amsalani
- Bmjamzito
- Cchooni
- Dnje.
Answer
A. msalani
"Msalani" ni neno la adabu la kumaanisha chooni. Kwa heshima tunasema "Naomba ruhusa kuenda msalani."
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.Question 27
- Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Question 28
- Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Question 29
- Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?Question 30
- Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Question 1
- Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?Question 2