CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 25
Jua huchomoza upande gani?
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Jua huchomoza upande gani?
- AMagharibi
- BMashariki
- CKusini
- DKaskazini
Answer
B. Mashariki
Jua huchomoza mashariki na kutua magharibi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda___"Question 26
- Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.Question 27
- Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Question 28
- Andika sentensi hii kwa wingi. Kabati kubwa limenunuliwa.Question 29
- Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?Question 30
- Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Question 1