naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 24

Tumia kihusishi kifaacho. Mpira uko___ meza.

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vihusishi

Mpira na meza

Tumia kihusishi kifaacho.

Mpira uko_________ meza.

  1. Achini ya
  2. Bmbele ya
  3. Cjuu ya
  4. Dndani ya

Answer

C. juu ya

Kwenye picha, mpira umewekwa juu ya meza: "Mpira uko juu ya meza."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test