CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 30
Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Badala ya kusema "ana mimba" utasemaje kuonyesha adabu?
- ANi mjamzito.
- BAmejifungua.
- CAna mtoto.
- DAnaenda haja.
Answer
A. Ni mjamzito.
"Ni mjamzito" ni lugha ya adabu ya kusema mtu ana mimba. "Amejifungua" maana yake amezaa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ni Salamu gani hutumika wakati wa kuamkua mtu asubuhi?Question 1
- Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?Question 2
- Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?Question 3
- Neno lipi hutumika kutoa shukrani kwa mtu akikufanyia jambo zuri?Question 4
- Ni nini umuhimu wa maamkuzi na maagano?Question 5
- Ni nini kilichomfanya Zuhura kuwa na huzuni?Question 6