naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 3

Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.

Mwalimu: Hodi! Wanafunzi wangu, habari zenu?
Wanafunzi: Karibu mwalimu, tuko salama.
Mwalimu: Mko vipi leo?
Wanafunzi: Tu wazima, mwalimu! Tuna furaha kuwa na wewe.
Mwalimu: Leo tutaongea kuhusu maamkuzi na maagano katika jamii yetu. Je, watu huamkuana vipi?
Wanafunzi: Watu huamkuana kwa kusema, "Habari ya asubuhi". au "U hali gani?"
Mwalimu: Hiyo ni nzuri. Je, kuna aina nyingine ya maamkuzi?
Wanafunzi: "Alamsiki" au "Siku njema" Pia ni salamu tunazotumia.
Mwalimu: Hivyo ndivyo ilivyo. Na wakati wa kuagana ni maneno gani tunayotumia?
Wanafunzi: Tunatumia "Kwaheri", "tutaonana" au "lala salama".
Mwalimu: Maagano haya ni muhimu sana kwa uhusiano wetu na wengine.
Wanafunzi: Asante, Mwalimu! Tutatumia maamkuzi haya kila wakati.

Pendo alimwambia mzazi wake "Alamsiki" Je, mzazi alijibu kwa kusema vipi?

  1. AMarahaba
  2. BBinuru
  3. CNjema
  4. DTuonane

Answer

B. Binuru

"Alamsiki" hujibiwa kwa "Binuru". "Marahaba" ni jibu la "Shikamoo".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test