CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 8
Zuhura aliishi katika kijiji kilichoitwaje?
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi
Soma kifungu hiki kwa makini kisha ujibu maswali yanayofuata.
Hapo zamani za kale, paliishi msichana aliyeitwa Zuhura. Aliishi katika kijiji kidogo kilichoitwa Banda. Katika kijiji hicho, watu walikuwa wakivaa mavazi ya kawaida. Zuhura alikosa furaha kwa sababu aliona mavazi ya kijiji yalikuwa ya zamani na ya kawaida. Alikuwa na ndoto ya kuwa mchoraji maarufu na alijua kuwa mavazi ya kipekee yangemsaidia kufikia ndoto hiyo.
Siku moja, Zuhura alijua kuhusu mashindano ya mitindo ya mavazi mjini. Aliamua kutengeneza mavazi kwa kutumia nguo za zamani za mama yake. Alifanya hivyo kwa ubunifu na kwa michoro ya kipekee. Alijivunia mavazi hayo aliyotengeneza. Katika mashindano, Zuhura alishinda kwa mavazi yake ya kipekee. Alifurahi kuona ndoto yake ikitimia.
Zuhura aliishi katika kijiji kilichoitwaje?
- ABanda
- BKidogo
- CPanda
- DMavazi
Answer
A. Banda
"Aliishi katika kijiji kidogo kilichoitwa Banda." Neno "kidogo" linaeleza ukubwa wa kijiji, si jina lake.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Zuhura alishinda mashindano kwa sababu gani?Question 9
- Hadithi hii inatufundisha nini?Question 10
- Kamusi hutueleza yote yafuatayo isipokuwaQuestion 11
- Maneno kwenye Kamusi hupangwa kulingana naQuestion 12
- Neema aliambiwa na mwalimu wake atafute neno "soma" kwenye Kamusi. Je, alipata kuwa neno hilo niQuestion 13
- Kulingana na mpangilio wa maneno kwenye kamusi, ni neno lipi kati ya haya litapatikana la kwanza?Question 14