naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 2

Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.

Mwalimu: Hodi! Wanafunzi wangu, habari zenu?
Wanafunzi: Karibu mwalimu, tuko salama.
Mwalimu: Mko vipi leo?
Wanafunzi: Tu wazima, mwalimu! Tuna furaha kuwa na wewe.
Mwalimu: Leo tutaongea kuhusu maamkuzi na maagano katika jamii yetu. Je, watu huamkuana vipi?
Wanafunzi: Watu huamkuana kwa kusema, "Habari ya asubuhi". au "U hali gani?"
Mwalimu: Hiyo ni nzuri. Je, kuna aina nyingine ya maamkuzi?
Wanafunzi: "Alamsiki" au "Siku njema" Pia ni salamu tunazotumia.
Mwalimu: Hivyo ndivyo ilivyo. Na wakati wa kuagana ni maneno gani tunayotumia?
Wanafunzi: Tunatumia "Kwaheri", "tutaonana" au "lala salama".
Mwalimu: Maagano haya ni muhimu sana kwa uhusiano wetu na wengine.
Wanafunzi: Asante, Mwalimu! Tutatumia maamkuzi haya kila wakati.

Ni gani kati ya maneno haya hutumika kuagana?

  1. AU hali gani
  2. BHabari
  3. CAlamsiki
  4. DSiku njema.

Answer

D. Siku njema.

"Siku njema" na "Alamsiki" (tuonane alfajiri, usiku mwema) husemwa wakati wa kuagana. "U hali gani" na "Habari" ni maamkuzi ya kukutana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test