CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 22
Nomino "Mimea na Muwa" huorodheshwa katika ngeli ipi?
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
Nomino "Mimea na Muwa" huorodheshwa katika ngeli ipi?
- AU-I
- BLI-YA
- CA-WA
- DKI-VI
Answer
A. U-I
Mmea → mimea, muwa → miwa. Nomino hizi huchukua viambishi u- (umoja) na i- (wingi): mmea umeota, mimea imeota. Ni ngeli ya U-I.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha kwa nafsi ifaayo. ___ aliandika insha vizuri.Question 23
- Tumia kihusishi kifaacho. Mpira uko___ meza.Question 24
- Jua huchomoza upande gani?Question 25
- Unapotaka kumwomba mwalimu ruhusa kuenda kujisaidia, utasema "Naomba ruhusa kuenda___"Question 26
- Kamilisha methali. Mtoto umleavyo ___.Question 27
- Tambua kifaa kifuatacho cha kidijitali.Question 28