CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 19
Nafasi ya 19
From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kuanzia swali la 16-20, soma kifungu kwa makini kisha uchague jibu lifaalo zaidi kujaza mapengo.
Shule 16 ________ imeimarika sana katika masomo. Kila mwanafunzi hujikaza kusoma kwa bidii kama 17 ________ ili apate alama nzuri. Walimu wametuweka kwenye vikundi 18 ________ vinavyotufanya kushirikiana kwani, umoja ni 19 ________. Tunamshukuru mwalimu wetu 20 ________ ametusaidia kuimarika zaidi.
Nafasi ya 19
- Abidii
- Bushindi
- Cnguvu
- Dudhaifu
Answer
C. nguvu
Methali: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu."
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nafasi ya 20Question 20
- Kuanzia swali 21-30, jibu kila swali kulingana maagizo. Kamilisha. Mtoto ___ ni mtiifu.Question 21
- Nomino "Mimea na Muwa" huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 22
- Kamilisha kwa nafsi ifaayo. ___ aliandika insha vizuri.Question 23
- Tumia kihusishi kifaacho. Mpira uko___ meza.Question 24
- Jua huchomoza upande gani?Question 25