naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 3 · Question 17

Nafasi ya 17

From Kiswahili — TISMA Exams 007 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kuanzia swali la 16-20, soma kifungu kwa makini kisha uchague jibu lifaalo zaidi kujaza mapengo.

Shule 16 ________ imeimarika sana katika masomo. Kila mwanafunzi hujikaza kusoma kwa bidii kama 17 ________ ili apate alama nzuri. Walimu wametuweka kwenye vikundi 18 ________ vinavyotufanya kushirikiana kwani, umoja ni 19 ________. Tunamshukuru mwalimu wetu 20 ________ ametusaidia kuimarika zaidi.

Nafasi ya 17

  1. Asungura
  2. Bmwalimu
  3. Ckobe
  4. Dmchwa

Answer

D. mchwa

Tashbihi "kwa bidii kama mchwa" — mchwa hufanya kazi kwa bidii sana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test