CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025
Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Miti haileti ___Answer: C. mchanga
- Question 2: Afya mbaya huletwa na ___Answer: D. mazingira machafu.
- Question 3: Mdudu aletaye ugonjwa wa kipindupindu huitwa ___Answer: A. nzi
- Question 4: Hatuwezi kuweka mazingira yetu safi kwa ___Answer: C. kukata miti
- Question 5: Kitate cha neno taka ni ___Answer: C. daka
- Question 6: Mbuzi alitaka kuwa nani?Answer: B. Simba
- Question 7: Kwa nini mbuzi alinguruma alipowaona simba?Answer: C. Alifikiri amekuwa simba.
- Question 8: Wanyama wasiofugwa huishi wapi?Answer: B. Porini
- Question 9: Kwa nini simba walimla mbuzi?Answer: C. Walikuwa na njaa.
- Question 10: Sauti wanayotoa simba ni ___Answer: D. mngurumo.
- Question 11: Sehemu ya juu ya nyumba niAnswer: D. paa.
- Question 12: Nyumba yetu ina vyumba vingapi?Answer: A. Vitano
- Question 13: Chumba kilicho karibu na cha kulala ni ___Answer: B. sebule
- Question 14: Ni kipi kati ya hivi kisichopatikana nyumbani kwetu?Answer: C. Mtoto wa meza
- Question 15: Sebule ni chumba kipi?Answer: C. Wanapoketi watu kuzungumza.
- Question 16: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.Answer: D. ninapenda
- Question 17: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.Answer: A. letu
- Question 18: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 18.Answer: C. wengi
- Question 19: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 19.Answer: A. wetu
- Question 20: Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 20.Answer: C. wote
- Question 21: Chagua nomino kwenye orodha.Answer: A. Nakuru
- Question 22: Andika tarakimu ‘89’ kwa maneno.Answer: C. Themanini na tisa.
- Question 23: Nafsi ya tatu katika umoja ni ___Answer: D. yeye.
- Question 24: Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___Answer: D. nesi.
- Question 25: Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Answer: C. a/u
- Question 26: Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Answer: A. Mkubwa - kivumishi.
- Question 27: Andika katika wingi. Mimi nitakuja.Answer: A. Sisi tutakuja.
- Question 28: Kamilisha sentensi ifuatayo. Kipepeo ___Answer: A. kinapepea
- Question 29: Viti ___ vimevunjika.Answer: D. vyetu
- Question 30: Mwezi upi unaokuja kabla ya Julai?Answer: C. Juni