naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 7

Kwa nini mbuzi alinguruma alipowaona simba?

From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi

Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 6 - 10.

Mbuzi mmoja alitaka kuwa simba. Alianza kujifunza kunguruma kama simba. Mbuzi wengine walianza kumwogopa. Walimwuliza, “Kwa nini sauti yako inatisha?” Naye akajibu, “Mimi si mbuzi kama nyinyi mnaolia mee! Mimi ni simba.” Alianza kuwala watoto wa mbuzi wengine. Mbuzi wengine walianza kumtoroka.

Aliamua kuanza safari kuelekea porini kwenda kuishi huko. Mara akawaona simba watatu waliokuwa na njaa. Alinguruma nao wakanguruma kwa sauti ya juu ajabu! Waliamka wakaanza kumkimbiza. Mbuzi alitoroka lakini simba walimshika na kumla.

7. Kwa nini mbuzi alinguruma alipowaona simba?

  1. AAliwaogopa simba.
  2. BAliona wenzake.
  3. CAlifikiri amekuwa simba.
  4. DAlitaka chakula.

Answer

C. Alifikiri amekuwa simba.

Mbuzi alikuwa amewaambia mbuzi wenzake, "Mimi ni simba." Alifikiri amekuwa simba, ndiyo maana alinguruma nao.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test