CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 8
Wanyama wasiofugwa huishi wapi?
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi
Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 6 - 10.
Mbuzi mmoja alitaka kuwa simba. Alianza kujifunza kunguruma kama simba. Mbuzi wengine walianza kumwogopa. Walimwuliza, “Kwa nini sauti yako inatisha?” Naye akajibu, “Mimi si mbuzi kama nyinyi mnaolia mee! Mimi ni simba.” Alianza kuwala watoto wa mbuzi wengine. Mbuzi wengine walianza kumtoroka.
Aliamua kuanza safari kuelekea porini kwenda kuishi huko. Mara akawaona simba watatu waliokuwa na njaa. Alinguruma nao wakanguruma kwa sauti ya juu ajabu! Waliamka wakaanza kumkimbiza. Mbuzi alitoroka lakini simba walimshika na kumla.
8. Wanyama wasiofugwa huishi wapi?
- ANyumbani
- BPorini
- CMajini
- DMtini.
Answer
B. Porini
Wanyama wasiofugwa (wa porini) kama simba huishi porini. Mbuzi alielekea porini ambako aliwakuta simba.